Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie napenda makelele , wana bahati sishindi , ningekuwa nawasha kiradio hadi mwisho .
😂😂

Ulifanikiwa kujaribu kushona?
Mimi nimeanza mdogo mdogo cha tatu hiki
 
Attachments

  • IMG_20230502_235635_664.jpg
    IMG_20230502_235635_664.jpg
    737.2 KB · Views: 8
Kaka?

Ukoje wewe

Niite tu jina langu

Mimi ni kaka yako

Kuanzia lini?

Kumcha Bwana

Ni chanzo cha maarifa

Sasa kumchezea ndombolo

Ni chanzo cha Nini?
Haya Wige , kucheza tumeona kwa biblia kuwa daudi alimchezea Mungu , refer 2 samweli 6:16 . Dancing is meant for God's glory . As way of worshiping and celebrating the body of Jesus christ . . If you got a desire in your heart , you can either sing , dance or any other form of art to show your talents or gifts .
 
Sijaweza kujaribu toka ulivyoniambia si rahisi . Hicho kinavutia na hakija isha Saint Anne
Shona kwa kurelax, hautaumia mikono.
Ukishona haraka haraka ili umalize ni lazima mikono iume.
Cha juzi nimekipeleka haraka kikaisha..
hiki cha mwanzo nilianza last week j4,nikawa naenda .
Hiki nilichoanza usiku nataka nimalize leo leo.
 
EH una mkono wa haraka kweli , Na umevizoea Nitajaribu siku . Vipi umeamkaje ?
 
Shona kwa kurelax, hautaumia mikono.
Ukishona haraka haraka ili umalize ni lazima mikono iume.
Cha juzi nimekipeleka haraka kikaisha..
hiki cha mwanzo nilianza last week j4,nikawa naenda .
Hiki nilichoanza usiku nataka nimalize leo leo.
Yani ukiwa na haraka gari kama halitembei , nimekaa mbele hapa nataka kupasuka . Nawaza foleni ya Mwenge .
 
Back
Top Bottom