Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,592
- 35,847
jina lipi nikuite kwa mfano ?
Uje guest nikwambie hilo jina
jina lipi nikuite kwa mfano ?
Mwakani huko dear , bado mapema sana Pesa sina , ngoja nijikomboe . Wanaume wenyewe hawataki lazy bone inabidi utafute pesaPesa zipo tyuuh Dear, upe mwili haki yake
Nipeleke dinner kule Epid'or kwanzaUje guest nikwambie hilo jina
Nipeleke dinner kule Epid'or kwanza
Maneno meengiiUmemis kupelekwa dinner ehh tunalala huko huko lkn
Maneno meengii
Ushapewa pasi mchinjo
Halafu unabutua












penalty anapiga kama chama la kapombeManeno meengii
Ushapewa pasi mchinjo
Halafu unabutua
hahahahaNiache leo sabato mm shemasi![]()
kisha uende,anataka uende na njaa?Nipeleke dinner kule Epid'or kwanza
Napelekwa aisee , nataka niendapo hapo . Pazuri sana ,Umemis kupelekwa dinner ehh tunalala huko huko lkn
Hapo sasa , achome kwanza mafuta anifuatekisha uende,anataka uende na njaa?
😂 Mbona sijatongozwa na jina lakoAf ndio ukanikataa HB kama mimi kweli?![]()
Acha utani😂 Mbona sijatongozwa na jina lako
au atume nauli na yakutoleaHapo sasa , achome kwanza mafuta anifuate
Ya Uber kabisa na mvua hii nisihangaikeau atume nauli na yakutolea
😂😂😂Acha utani
Kitafunwa sindo hicho kwenye bakuli...😁😁😁Mama mapochopocho😋😋😋
huo mkate si nautafuna tu kabla ya chai alafu ndo naanza kutafuta vitafunwa😂😂😂
hahahahahaYa Uber kabisa na mvua hii nisihangaike