Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,497
Kwakweli Bora upike na kaugali vile vimkate hapana😂😂😂Kitafunwa sindo hicho kwenye bakuli...😁😁😁
Kama vipi utafidia kwenye supper 🍽
View attachment 2603824
Kwakweli Bora upike na kaugali vile vimkate hapana😂😂😂Kitafunwa sindo hicho kwenye bakuli...😁😁😁
Kama vipi utafidia kwenye supper 🍽
View attachment 2603824
Habari yako ?hahahahaha
salama kabisa,pale mtaani kwako umehama? Nimepita mchana haupoHabari yako ?
Nipo aisee , nimehamia upande wa pili wa barabara . Ungenipigia tu rafiki .salama kabisa,pale mtaani kwako umehama? Nimepita mchana haupo
duh,nilipoteza simu na namba,labda unichekNipo aisee , nimehamia upande wa pili wa barabara . Ungenipigia tu rafiki .
Oh pole , next time usave kwa googleduh,nilipoteza simu na namba,labda unichek
Shikamoo boss ladyEvening selfika!✋
Shika mwenyewe mr vouchaaa unataka uninyime kitruu sio buree😁!Shikamoo boss lady


Umem mimba?Mwakani nisipo kuwa baba mniite mbwa
Yolly yolly![]()
Utualike kwa baby shower .Mwakani nisipo kuwa baba mniite mbwa
Yolly yolly![]()
Jambo la kheri tuijaze dunia mkuuMwakani nisipo kuwa baba mniite mbwa
Yolly yolly![]()
Ni yuleyule Dr Lizzy 😍Kitafunwa sindo hicho kwenye bakuli...😁😁😁
Kama vipi utafidia kwenye supper 🍽
View attachment 2603824
Jambo la kheri tuijaze dunia mkuu