NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
SASA hivi muamala unasoma.
Safi kabisa , Mpaka hapo unaonekana huduma zako Konki sana, Hongera.
SASA hivi muamala unasoma.
It's easy....!Nilikua eneo flani kuna dada muhudumu kaniuliza unataka povu Au isiyo na povu, nikamwambia sitaki povu, basi kamimina bila kusababisha povu
View attachment 1270380
Aisee jana ulikuwepo hapo??
Duh ugonjwa wangu huu
Basi mimi nitakuiimbia thereafter
Muda kidogo kama wiki imepita
Location? Is it like CS?
Huyo Simba waambie wampe chakula cha kutosha
Dah.. Pole sana.. I know those situations.. Siku inaharibika mapema mno
Lakini wewe mwenyewe ni mpinzani mkubwa wa speed!!No nilikuwa 150kph wakaniambia eti natakiwa nipite eneo hilo na 50kph..... seriously 50kph sasa kwanini gari ina 260kph? 😡😡
Unajua good musicKuna wimbo wa breezy unaitwa Overtime
nau dedicate kwako wimbo huo kwa siku ya leo.
Asante mkuuUnajua good music