Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivyo ilivyo ndio sahihi maana ina fibre nyingi, ipo na antioxidant zaidi, less sugar

Ile yenye vidoti imeiva zaidi hivyo fibres ni chache, sukari nyingi, less antioxidant effect

Ni stages tu katika uivaji hadi inaelekea kuoza..

Umeshikishwa izo mkuu... Zile zenye vidoti doti ndio ndizi mbivu original


[emoji23][emoji23]
 
Riziki na fursa ni kama basi la abiria. Kila fursa na kila riziki inakupeleka katika uelekeo fulani, inakukutanisha na watu fulani, inakupitisha katika hatari fulani na kukupa mafanikio ya aina fulani. Usidandie bila ya kusoma kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…