Viatu vyako huwa navielewa saaana!Tims.....
View attachment 1270202
Tupia kapicha kako tuoshe mechoViatu vyako huwa navielewa saaana!
Huwa nina tabia ya kuangalia viatu Vya wakaka
Or else....!!!Tims.....
View attachment 1270202
🙂🙂🙂 nasikia ndio kitu cha kwanza mnaangaliaViatu vyako huwa navielewa saaana!
Huwa nina tabia ya kuangalia viatu Vya wakaka
Timberland aka TimsThat's Clark or Timberland
Or else....!!!
Usijimwambafy, utafika tu.Tumefanyaje?
Kuna wimbo wa breezy unaitwa Overtime
nau dedicate kwako wimbo huo kwa siku ya leo.
Uzi umevamiwa tayari!Tims.....
View attachment 1270202
Ooh.... Subiri zitimie
We need to make useful moments for life with the people we meet here n thereFafanua hebu
Zinang'aa mku unazipiga rangi gani?Tims.....
View attachment 1270202
Weekend vibesView attachment 1270219
Pole what happened
KabisaHii inafaaa sana , ndio wakati wake
HopeMmhh siujui,, ngoja nikautizame..