DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Ningekuwa na ile no yako ya watsap ningekutumia.Mmhh siujui,, ngoja nikautizame..
Ningekuwa na ile no yako ya watsap ningekutumia.Mmhh siujui,, ngoja nikautizame..
Hope
utaupenda
Ningekuwa na ile no yako ya watsap ningekutumia.
Sija experience hilo tatizoNyie mwenzenu app yangu ya JF sijui ina nini tangu jana sioni avatars za watu kwa notifications,, au labda hili tatizo siyo langu peke yangu?? Mtandao uko vizuri tuView attachment 1270224View attachment 1270225
Umehamia wapi ?Sasa hivi sipo whatsapp kabisa
Mbombo ngafuNyie mwenzenu app yangu ya JF sijui ina nini tangu jana sioni avatars za watu kwa notifications,, au labda hili tatizo siyo langu peke yangu?? Mtandao uko vizuri tuView attachment 1270224View attachment 1270225
UpdateNyie mwenzenu app yangu ya JF sijui ina nini tangu jana sioni avatars za watu kwa notifications,, au labda hili tatizo siyo langu peke yangu?? Mtandao uko vizuri tuView attachment 1270224View attachment 1270225
Umehamia wapi ?
Mbombo ngafu
Karibu browser; huku hatupatagi tabu yeyoteYani acha tu kaka
ile kodi ya serekali usisahau kulipa mkuu!Acha maneno tupia selfie.....njoo South beach naelekea hukoView attachment 1270233 na agata edward
Update
Ipi hio nadaiwa 30,000 tu ya speedingile kodi ya serekali usisahau kulipa mkuu!
Karibu browser; huku hatupatagi tabu yeyote
Kwa hiyo ukiwa unawahi kwa agata edward ni mwendo wa speed ya 240!Ipi hio nadaiwa 30,000 tu ya speeding