Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Je hii [emoji23][emoji7][emoji23]
IMG_20190813_102554_1.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu haya mambo ndiyo yanayonifanyaga niseme nina miaka 42 na nina mume na watoto shwain kabisa,, na ninasema hivi bahati yenu mshukuruni sana Mshana Jr na tunguli zake fisi nyie..

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mshana nakulaani mno mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watoto bwana!
 
wouldnt give em credits if i myself aint a fashion fanatic...for instance i've watched every season of Project Runway & co (on lifetime and now on bravotv), have crazy collection of shoes etc etc
Nashukur kaka....
Huwa najifunza kupitia mitandao namna kumetisha
ukivaa mkanda mweusi lazima kiatu kiwe cheusi
Ukivaa suruali inabidi ifanane na soksi zako
Pia, muonekano wa mtu kupendeza hauangaliwi na gharama za nguo alizovaa bali ni KIATU mfn mtu akivaa suti ya gharama ata milion af chini akitupia kandambili we unahisi atapendeza??!! [emoji23]

Wanasaikolojia wanasema ukikutana na mtu kitu cha kwanza katika mavazi wanachoangalia ni KIATU[emoji148][emoji151][emoji150][emoji152][emoji149] af vinafata vingne, jichunguze ata ww
USHAURI; Jitahidi kuvaa kiatu kizuri kiuhalisia utaonekana umependeza ata ukivaa nguo mtumba ila ukivaa nguo bei ghali af kiatu kibaya au kichafu huwez pendeza
Asante
 
Back
Top Bottom