Selfika na JF: Snap it. Show it

Me nilijua hizo habari njema ni za kuniletea Mkwe, hivi yule Mkwe ile mahari ya shilingi milioni 20 tuliyomtajia ameshindwa kulipa?

Mwambie mambo mengine yanaongeleka akishaleta Koti la Babu 🤗.

Wacha niwahi shambani tu 🤪
Mkweo mahari haijamshinda ila nimeona anichukue tu Bure ananidekeza sana babu had nashindwa kuhema vizuri mjukuu wako 😂😂😂Ila kotilako ataleta
 
Safi sana ndugu kwa kuelewa ujumbe.Ijapokuwa kuna wengine humu washaanza kunibhokoza kuwa niwafafanulie.

We nkubalie me nime come true moja kwa moja
Usinambieee cazee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…