Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,305
Santoo sana bossi kubwaaa☺️☺️😂😂!! Nasubiria yako hapaaa!!🙇Ahsante sana mrembo wa mtaalamu
Kuna watu wanaishi pazuri na wengine wanajihishia pazuri
Santoo sana bossi kubwaaa☺️☺️😂😂!! Nasubiria yako hapaaa!!🙇Ahsante sana mrembo wa mtaalamu
Kuna watu wanaishi pazuri na wengine wanajihishia pazuri
Part ambayo utategeka au kumtoa nyoka pangoni 💃💃💃😆😆😆😆Bantu Lady naomba unisaidie hapa ukitaja wewe tu itakuwa umenitendea haki kwa unavyomjua huyu pacha wako eti anaweza nibless nini mimi muda huu
Antonnia njoo uchukue majibu ya nachotaka kupokea
Hivo viandazi ningepata Tangawzi ya Moto ingekua Safi sn
Ameshindwa kuitrajaaa nishawabless zamani sanaaa dearr!! Tunasubiria furuu yako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!Part ambayo utategeka au kumtoa nyoka pangoni 💃💃💃😆😆😆😆
Jamani nimepitwa 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️ irudiweeeeAmeshindwa kuitrajaaa nishawabless zamani sanaaa dearr!! Tunasubiria furuu yako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Irudiwe hiyo ya kunichagulia weweJamani nimepitwa 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️ irudiweeee
🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🤣Irudiwe hiyo ya kunichagulia wewe
😂😂Na kama hamtokufa Cha moto mtakionaSio ataua watu sema atatuua mijanaume😁😁
😀Ungejilamba iyo sukar kama kawaida Yako😀Hivo viandazi ningepata Tangawzi ya Moto ingekua Safi sn
Wacha KABISA,napenda sn tangawizi ya motoUngejilamba iyo sukar kama kawaida Yako
![]()
Ewaah! Natamani sana siku moja tugonge mapishi ya Aaliyyah imagine chakuka kitamu kipikwe na mpishi mremboMzee wa kupambania kasema siku Moja utupikie![]()
🤣🤣🤣 kauli tata hii vijana ws ovyo watakwambia wanataka wale msosi na mpishi mwenyewe 🤔😀Muulize kwanza vizuri anatak chakula kweli 🚶
Umesomeka umesomeka😀🤣🤣🤣 kauli tata hii vijana ws ovyo watakwambia wanataka wale msosi na mpishi mwenyewe 🤔
Nanukuu tu lakini nisieleweke vibaya
Saafi sana😀😀 mojawapo ya sifa ya wife material ni kujua kupika familia ile chakula chenye lisheShukrani
Wadada tunaopenda kula 😂😂
How are you doing?Mzima kipenzi, niko na msiba, ndiyo maana nimepotea kidogo. Bibi yangu amefariki. Ila nipo luv. Leo naona mwana mpotevu Tayukwa kaonekana. Atubless usimuachie
Itapendeza mno 😋Itabd watupe mwaliko tukajing'ate mkuu![]()