Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Nakazia 📌Part inayokufanya uishi😂😂
Nakazia 📌Part inayokufanya uishi😂😂
Ndio part gani Kwani mie kiswahili nilifeliiigii mwenziooo😊😊🤭Part inayokufanya uishi😂😂
Bantu Lady naomba unisaidie hapa ukitaja wewe tu itakuwa umenitendea haki kwa unavyomjua huyu pacha wako eti anaweza nibless nini mimi muda huuNdio part gani Kwani mie kiswahili nilifeliiigii mwenziooo😊😊🤭
Bantu Lady tunamdai furuuu yakee mwambie atufanyie wepesi basii bossi akee mbantuuu 💪💃!Nitake radhi tafadhali 🤣🤣🤣 hapo nilikuwa namsemea kwa sauti tu huyu Antonnia baada ya kutuuliza sisi
Umeshindwa kuchagua haya natuma yoyote tyuuu turiaa hapohapoooo napita kama upepooooooooo😊!!Bantu Lady naomba unisaidie hapa ukitaja wewe tu itakuwa umenitendea haki kwa unavyomjua huyu pacha wako eti anaweza nibless nini mimi muda huu
Antonnia njoo uchukue majibu ya nachotaka kupokea
Soda ya peps isipokuwa ya barid inageuka chai😀
Tayukwaaaaa 🗣️🗣️
Ohhh jamni mrembo nyie huyu dada ataua watu😀😀😀
Aisee wew ni mrembo sana 😍Tayari bossi akee mbantyuuuhh👆👆👆👆👆👆
Sio ataua watu sema atatuua mijanaume😁😁Ohhh jamni mrembo nyie huyu dada ataua watu😀😀😀
Nijazeee nijazeee nijazeee tyuuuu mdogo wanguuu!!☺️Ohhh jamni mrembo nyie huyu dada ataua watu😀😀😀
Ahsante sana mrembo wa mtaalamu