Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
I'm doing fine sumbai and thank you 😘
I'm doing fine sumbai and thank you 😘
Napitwaa Sana Sasa hivi na vitu vizuri! Hivi pm yako figo76 aliishughulikia Mkuu?@Kapachino huu ubize WA kupaka rangi nchi unatukoshea Maua ya dunia.
Fanya uje uangalie type zako zileee za hall one na three
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Chino na nimekumiss sana. Nimefurahi uwepo wako 😍Poleni Sana! mbantu
Mmefurahi Sana pia mbantu!!Asante sana Chino na nimekumiss sana. Nimefurahi uwepo wako 😍
Jirani namalizia panda! Siunajua hizi mvua Tena! Mtandao wenyewe shida tupu. Ila by weekend tutakunywa sote pepsi kitaani.Jirani , umerudi kitaa ?
UMENIELEWA HAUJANIELEWA ILA KITU NACHOTAKA UJUE NAKUPENDA.Cuzoo km cuzooo, hebu fafanua bas.
Mie hata sijaelewa.
🤣🤣🤣 acha karudi shule kasumbufu tu hapaHuyo dogo soon anaenda boarding. Hatokuwa tena na access na JF 😅😅
UKINIKUBALIA NTAFAFANUA KWAKO CAUSE NEME COME TRUN.Cuzoo km cuzooo, hebu fafanua bas.
Mie hata sijaelewa.
Unamkubali nani katika ile show ya CHEKA TU?Naipenda sana show ya CHEKA TU
cocastic njoo nipe muongozo kiingilio na mambo mengine ambayo siyafahamu
Natamani holiday hii niende nipumzike kulala lala 😀
TUOWANECuzoo km cuzooo, hebu fafanua bas.
Mie hata sijaelewa.
Laugh on Leonard na txsulehUnamkubali nani katika ile show ya CHEKA TU?
Leonardo anajua sana yule jamaa hanaga paparaLaugh on Leonard na txsuleh
Kabisa natamni nikacheke hukohuko😀Leonardo anajua sana yule jamaa hanaga papara
Jamaa mbunifu sana bora kwenda kujichekea tu huko uongeze siku za kuishiKabisa natamni nikacheke hukohuko😀
Oh sawa jirani , usisahau matunda huko jamani uje nayo .Jirani namalizia panda! Siunajua hizi mvua Tena! Mtandao wenyewe shida tupu. Ila by weekend tutakunywa sote pepsi kitaani.