Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Inakuwaje jamana mtu umekaa zako af unasikia jirani zako wanakusengenya wakijua kwamba wewe husikii
Huwa napenda sn iyo,
Wachawi wako unawajua mapema
Unajipanga vzur jins ya kukabiriana nao[emoji4]
 
Back
Top Bottom