Aweee asante besty...basi tuseme nawakubali sanaa...wacheshi kumbe mpk sura na maumbo yenu yanajieleza..Unajiachaje mtani miye nilikuona, uko full mtoto sura, mtoto mshepu yaani wewe na Tonnia kama mapacha 👌👌👌😍😍😍😍😍
Lipi hilo meji?? 😄 😄 😄😆 😆 😆 😆 😆 Afu wee Kalpana nna Jambo lako[emoji4]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asante pia, tunakupenda sana mtani 😘😘😘😘Aweee asante besty...basi tuseme nawakubali sanaa...wacheshi kumbe mpk sura na maumbo yenu yanajieleza..
Shangaa Nawewe dear ye anajisahauu eti .. Kalpana mtrotro potrabo mtrotro ana shepuu mtrotro ana jichooo la kurembuaa balaaaa!! mtrotro mkareee kinoumaaa!!😍😍Unajiachaje mtani miye nilikuona, uko full mtoto sura, mtoto mshepu yaani wewe na Tonnia kama mapacha 👌👌👌😍😍😍😍😍
😍😍😍😍😍Asante pia, tunakupenda sana mtani 😘😘😘😘
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaa wee.Usijareee kipenziii..soon utafurahi mwenyewe mbona!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ankoliii wee muongooo.ana heka heka nyingi kama kuku metetea , yeye na uvumilivu walisha achana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzenuu nna heka hekaa hata situliii lol.Shoga kidawa nawewe sasa uwii unajua kwa furaha ya Yanga, niliiacha mpaka saa 5 ya usiku!!!
Jana palepale niliweka hata mtani Kalpana kaona.
Lazima shoga ako Tonnia kasave atakutumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cocastic
Mwenzenu leo nafatilia passport, yaan kuna usumbufu balaa.Alikua anaswampia Wapii coca nae. Kweli alipitwa na bongesaa la mselfiii!!
😘😘😘😍😍😍😍Mm ni nani nibishee na macho yenu yamenikubalii.... 😍 😍 😍
Pamoja sana vipenzi
Nikumbushe jioni nkishafungaLipi hilo meji?? [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Binamu ndo ukaninyima pilau la idd[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaa wee.
Eid ilipita km hainijui vileee,
Idd Ilikukuta wapi Kwan[emoji4]Eid ilipita km hainijui vileee,
Wee nilaumu kwa pasaka, ila Eid utanionea.