Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,242
- 183,127
🤣🤣😂😂😂😂!Eid ilipita km hainijui vileee,
Wee nilaumu kwa pasaka, ila Eid utanionea.
🤣🤣😂😂😂😂!Eid ilipita km hainijui vileee,
Wee nilaumu kwa pasaka, ila Eid utanionea.
Duuh...haya 😆 😆 😆
Unataka kuhama nchi?Nyie Waja, mtume baadae selfie zenuu, now niko na heka heka, kufuatilia passports.
Baadae!!
Nuzulati nna swali kwako[emoji4][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098]
Wee mwanamke umeadimika balaa[emoji4][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098]
Nasubiri tuswali mkuu🙇🏼♀️
Walaa nafuatilia tyuuh.Unataka kuhama nchi?
Nipo mkuu 😊
Kwa kweliii.[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
Irudiweee irudiweee Nuzuuuuu!!😊🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️
Kitambo sijaona umbo la kibantu😍Irudiweee irudiweee Nuzuuuuu!!😊
Mi na ww tuna ugomvi?Nasubiri tuswali mkuu[emoji2312]
Imebidi nicheke huku nilipo sikumbuki kama tumewahi kugombana kwa nini umeuliza hivyo baba J
Umenigeuzia kibaoo tenaa😊😊😊! Mie natupia kila leo mbonaaa labda utakua unapishana nazoo!Kitambo sijaona umbo la kibantu😍
Wee sio wa kuninyima mm pilau la iddy[emoji26]Imebidi nicheke huku nilipo sikumbuki kama tumewahi kugombana kwa nini umeuliza hivyo baba J
Nimekuwa mvivu siku hizi kutembelea uzi mzuri kama huu😍Umigeuzia kibaoo tenaa😊😊😊! Mie natupia kila leo mbonaaa labda utakua unapishana nazoo!
Nina jipya basi sinaaaa hata jipyaa kipenziii!!Nimekuwa mvivu siku hizi kutembelea uzi mzuri kama huu😍
Dah! Sijawai bahatika kuiona picha ako ata moja humu selfika Antonnia [emoji848]Umigeuzia kibaoo tenaa[emoji4][emoji4][emoji4]! Mie natupia kila leo mbonaaa labda utakua unapishana nazoo!