Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Shangaa wewe matani, si mlikuwa wote hapa? Shida hatulii sehemu moja ๐๐๐๐๐๐Amepitwaaaaa
Shangaa wewe matani, si mlikuwa wote hapa? Shida hatulii sehemu moja ๐๐๐๐๐๐Amepitwaaaaa
Nipo sisy akeee..sijui kama nimeiona ๐ ๐Lol nilishairudiarudia sana sis akee nahisi ushaionagaa eti๐!! Bado upoo??
Ee na yy akawa anaisubiria mara kashaondoka kakimbilia sportShangaa wewe matani, si mlikuwa wote hapa? Shida hatulii sehemu moja ๐๐๐๐๐๐
Yanii watakua wametingwa labda!!
Wasubirie kidogo, nawaombea usifute jamani ๐๐๐Yanii watakua wametingwa labda!!
Lol nilikua nshafuta wakija ntarudia kipenzi!! Bossi kubwa ushasema mi ninani hata nipinge ๐๐๐!!Wasubirie kidogo, nawaombea usifute jamani ๐๐๐
Jamanii mbona umefutaaa..au sehemu nilipo hakuna network jamani?
Nipo weka kipenziLol nilikua nshafuta wakija ntarudia kipenzi!! Bossi kubwa ushasema mi ninani hata nipinge ๐๐๐!!
Nilishapitwa tena๐ฅFor my team Young African ๐๐
Nina rahaaaaaaaaaaaaaaaa
Hyo meza jamani na hzo simu shemelaa[emoji444][emoji444]View attachment 2597848
Lol usitoke dakika sifuri sis akee!! Napita kama upepoooooo!!๐Nipo weka kipenzi