Ngoja nirud kwa Stive 😂Fanya kama unatubless kwanzaa au hujamaliza kulike😁???
Kuna ile ya masta ya Akinyi sijui imefikia wapi hata!! Nilisoma episode mbili tu hadi leo sielewi ilipofikiaNgoja nirud kwa Stive 😂
Mm mwenyewe cjapita kwa akinyi muda sana,alipopigwa ban nikamsusa kwanza cjui kama karudi,ngoja ntapita hapo sirari nicheki kama kaendekea ntakushtua usiku huu😂Kuna ile ya masta ya Akinyi sijui imefikia wapi hata!! Nilisoma episode mbili tu hadi leo sielewi ilipofikia
Pamoja Sana mwanaa utanistua!✌️Mm mwenyewe capita kwa akinyi muda sana,alipopigwa ban nikamsusa kwanza cjui kama karudi,ngoja ntapita hapo sirari nicheki kama kaendekea ntakushtua usiku huu😂
Hufananii na roho mbayaYani leo hawa Yaga walivyonipa mstuko picha itakua mbaya sanaaa
Duuuh nilishapitwaaaaa, [emoji24][emoji24][emoji24]For my team Young African [emoji169][emoji172]
Nina rahaaaaaaaaaaaaaaaa
Nilipitwaa sanaaa janaaa, uwiiiiih
Do the needful nione kigodorooo kwanzaa kitrambo sana!Nilipitwaa sanaaa janaaa, uwiiiiih
Wee tenaaa kwa kujizimaa dataa, sikuweziiiDo the needful nione kigodorooo kwanzaa kitrambo sana!
Usijareee kipenziii..soon utafurahi mwenyewe mbona!!Wee tenaaa kwa kujizimaa dataa, sikuweziii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😋🤗🥰😌😘😍Usijareee kipenziii..soon utafurahi mwenyewe mbona!!
ana heka heka nyingi kama kuku metetea , yeye na uvumilivu walisha achanaMfundishe shoss cocastic uvumilivu mjombaa!! Soon atafurahi mbonaa😊
Shoga kidawa nawewe sasa uwii unajua kwa furaha ya Yanga, niliiacha mpaka saa 5 ya usiku!!!Duuuh nilishapitwaaaaa, [emoji24][emoji24][emoji24]
IrudiweeeeeeeTuriaaa ivoooivooio mr vouchaaa Usipepese hata kopeeee napita kama upepoooooo!!😁!!
Alikua anaswampia Wapii coca nae. Kweli alipitwa na bongesaa la mselfiii!!Shoga kidawa nawewe sasa uwii unajua kwa furaha ya Yanga, niliiacha mpaka saa 5 ya usiku!!!
Jana palepale niliweka hata mtani Kalpana kaona.
Lazima shoga ako Tonnia kasave atakutumia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
cocastic
Lol nilishairudiarudia sana sis akee nahisi ushaionagaa eti😁!! Bado upoo??Irudiweeeeeee