National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Nakutumia tu dollar, hiyo ads uifute 😊😊
Nakutumia tu dollar, hiyo ads uifute 😊😊
Acha roho ya hiviSawa boss ila huyo Chief Accountant National Anthem ni Mzee wa 10 percent, sijui kama hela yote itafika Site [emoji2089][emoji2089]
Navyokufahamu Sasa
EhAki babe wangu fanya nikusikie, nimekuhamu mwenzio
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
OvyooNipo babe!...u can call me any time[emoji8]
KabisaKama simba nyikani, inabidi kuzichapa hadi mmoja afe ndio amiliki [emoji28][emoji28][emoji28]
Nawafuatilia tuUwe makini kwa kweli, kugonganisha magari haifai mbele ya Babu yako [emoji12][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Lazima mmoja akimbieee 😅😅Kabisa
Bila kichapo
Territory utaisikilizia 6 feet
Hupatikani loveNipo babe!...u can call me any time[emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23]niacheNavyokufahamu Sasa
Hukawii
Ebu tulizana jirani ya kwio
BasiHuwezi kufa na presha babuu wajukuu zako tunajua uko vizure uko fit sana!! Unaanzajee kupata preshaaa [emoji23][emoji2960]
oh nitakucheki basi
Ninekupokea[emoji23]Motivational speaker[emoji1]
OhHahaha................lakini wewe ndiyo utakuwa mgomvi, umemkuta Mjeda ameweka Kambi hapo Mwaka wa 7 huu, muonee huruma mwenzio [emoji28]
Upo vizuri nakuachia kijiti😅Ninekupokea[emoji23]
Majukumu ni kusaidiana
Mwenyejiii unanenepaa siku hizii,
Ni chief accountant waInaonekana umejizatiti kutaka kutwaa jimbo kwa Mjukuu wangu, hebu nifanyie mpango hela ya Ugoro hapo.
Usije kuwa una maneno mengi kumbe hata Hela ya Ugoro kwa Babu yake huna [emoji12][emoji2089][emoji2089]
Kama kweli vile[emoji1787]Nakuaminia Mjukuu, sijawahi kupata kesi ya Usaliti kutoka kwako [emoji12]
nipe njia ya kufikisha dolari kwakoNiletee hizo dolari rafiki
Mpesa yangu kila siku inasakamwa na Songesha