Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Inaonekana umejizatiti kutaka kutwaa jimbo kwa Mjukuu wangu, hebu nifanyie mpango hela ya Ugoro hapo.

Usije kuwa una maneno mengi kumbe hata Hela ya Ugoro kwa Babu yake huna 😜🏃‍♂️🏃‍♂️
Tutume BTC ngapi au Krone kiasi gani 😅😅

Hadi mmoja apoteee niwe mimi mjeda nisie tambulika au mjeda mwenye jimbo
 
20230421_115621.jpg
 
Back
Top Bottom