Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Sawa kakaItunze
Idumu
Sawa kakaItunze
Idumu
Sawa boss ila huyo Chief Accountant National Anthem ni Mzee wa 10 percent, sijui kama hela yote itafika Site 🏃♂️🏃♂️
😅😅😅 kikubwa ifike tu mkuu, kuliko kutokufika kabisaa.. na uzuri hiyo 10% nakula na wajukuu wako kama AntonniaSawa boss ila huyo Chief Accountant National Anthem ni Mzee wa 10 percent, sijui kama hela yote itafika Site 🏃♂️🏃♂️
Hebu tukutane tujadili hili jiraniNitaaanzia wapi mimi jirani?
Nitaishi vipi mjini niki ku block wewe jirani
Aki babe wangu fanya nikusikie, nimekuhamu mwenzioMotivational speaker![]()
Napokea piga😊😊 hupokei simu sasa, angalia pm
Miss you mzunguu!! Sio kwa kutingwa huko!!Napokea piga
Pm imeharibika 😁
HatutakiiiiiiiiStory ziwe fupi fupi selfii kwawingi wapendwa!
Samalekooo!!





Goja babu yako atume kwanza 😅😅Nipo hapaa fanyeni wepesi mnitumie mjombaa!!🙇!
Acheni hizoooo jamaneee!!Hatutakiiiiiiii![]()
Nimemtuma fundi miko aje aitengeneze pm yakoNapokea piga
Pm imeharibika 😁
Uzuri Babu hanaga mbambambaa kabesaaaaa yani!!Goja babu yako atume kwanza 😅😅
😅😅 na mie mjeshi vile vile, tutakabiriana vizurii tuNdiyo maana Mjukuu wangu Antonnia anazidi kunawiri, ila kuwa makini naye, si unajua ameolewa na Mjeshi?
Mbaya zaidi mjeshi mwenyewe anamiliki Pistol 🔫 😜
Nipo babe!...u can call me any time😘Aki babe wangu fanya nikusikie, nimekuhamu mwenzio
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Weeeeeeehh mjombaaa babu kashasema kaa kwa password ivoo!!😊😅😅 na mie mjeshi vile vile, tutakabiriana vizurii tu
Kama simba nyikani, inabidi kuzichapa hadi mmoja afe ndio amiliki 😅😅😅Weeeeeeehh mjombaaa babu kashasema kaa kwa password ivoo!!😊