Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaniachaje chawa wee msintanieeee 😂🤣😂🤣!!
Chawa pro max
Wewe chawa kama chawa naomba idhini ya kupata # ya Bantu Lady ili niweze kumhamishia some amount ili aweze kutekeleza azimio langu. Hii italenga sehemu zote zenye hadhi ya bantu kwa ajili ya hiyo lunch tena bila kuuliza bei za huduma
Sehemu yoyote yenye hadhi ya 5*

Fanikisha hili utalamba 7 days za sehemu ya hadhi ya 3* kwa ajili ya lunch yako
Chawa huwezi mzidi boss wako
 
Tayukwa kama Tayukwa naelewa mambo yako... 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Antonnia kama nakuona, kuitoa namba ya mtu 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣
 
Chawa pro max
Wewe chawa kama chawa naomba idhini ya kupata # ya Bantu Lady ili niweze kumhamishia some amount ili aweze kutekeleza azimio langu. Hii italenga sehemu zote zenye hadhi ya bantu kwa ajili ya hiyo lunch tena bila kuuliza bei za huduma
Sehemu yoyote yenye hadhi ya 5*

Fanikisha hili utalamba 7 days za sehemu ya hadhi ya 3* kwa ajili ya lunch yako
Chawa huwezi mzidi boss wako
Watruuuuuu weuweeeweeeehhhh 💃💃🤸🤸!!

Ukisikia big boss ndio Tayukwa sasa limeisha hiloo!!! Hapo Mbantu hachomoiiiiii!!😂😂🤣🤣!!
 
Back
Top Bottom