Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah je nikibeba kile kisado kidogo cha rangi viwili uku na uku?

Au nipee kazi ya kuwahesabia mafundi vifaa vilivyotoka store au ata kuchota maji kupitia mpira naweza pia nihurumie mimi last born si una muona kaka Tayukwa na National Anthem wanavyo nisakama hapa
Msaidie dogo aache kulala lala sitting room na kuangalia katuni na mdada wa kazi
 
Msaidie dogo aache kulala lala sitting room na kuangalia katuni na mdada wa kazi
Bora umeliona mpaka leo dada wa kazi kanifokea et kisa nilikuwa nachukua chai ikamwagika kidogontu jikoni kanifokea sana na andazii kanipa moja badala ya mawili
 
20230420_135704.jpg
 
Back
Top Bottom