Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,411
- 62,457
Huyo Bantu Lady inasemekana alisoma masomo ya Sanaa na biashara, hapa kwenye mambo magumu lazima atakuwa anaona mapicha picha 😜🏃♂️🏃♂️🏃♂️Babu subiri kidogo utakanyaga wire wa network tumsubirie kwanza Bantu Lady akuje the tuuangalie ubora wa zege na nondo zake