Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Una kilangaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechekaa juzi kuna mtu ananambia eti ukimaliza unga masters jumlaa, nkamuangalia nkashindwa hata kumjibu.

Yaan hata nisipumzikee kisa nn, ajira enyewe hakuna. Kwan natamani mida uende nisepee mazima mie. Uwiiiiih
Mimi narudi shule
Tena nisome hapahapa Mlimani niwe nakula upepo safi.
 
Back
Top Bottom