Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_6059.png

Usipoingia Jf siku 3 notifications sizitakuwa 10000 sasa
Mmeamkaje nyie
Mashangazi Hamjambo
Nyie Single mfe tu
 
View attachment 2592887
Ukitafakari mapito uliyopitishwa, unaweza ukawa shahidi wa kusimulia Ukuu wa Mungu kupitia matendo aliyokutendea.

Hakika ni Neema tu imetufanya tuwe hai leo.

Ooh Lord, You Saved Me 🙏

Hello Wednesday 👋
Hellow granpa!!
Kumbe nawewe uko vizure mambo ya kiroho eeh!! Safi sana!!
hakika Mungu ni mwema sana babu!!!
 
Hellow granpa!!
Kumbe nawewe uko vizure mambo ya kiroho eeh!! Safi sana!!
hakika Mungu ni mwema sana babu!!!
Ukishafika Umri wa kuanzia miaka 50 kuendelea ni wakati wa kufanya matengenezo ya Kiroho kwa kuwa karibu na Muumba.

Ndiyo maana Zakayo mtoza Ushuru(kwenye hadithi za Agano Jipya), aliona ni vyema kuwarudishia kiasi cha fedha mara mbili wale wote aliowadhurumu mali kwa kuwabambikia Kodi isivyo halali.

Umri wa Zakayo wakati ule ilikuwa miaka 52, wakati mimi nimevuka Umri huo miaka ile ya 80's 🤗🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom