Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna seminar moja ya kujiandaa kustaafu nilihudhuria miaka ile .......si nikakutana na mafunzo pia ya matumizi ya Condom ya mdomo 🙈

Ukifa kwa kiu ya maji baharini utakuwa uzembe wako tu, everything is on the place.

Furahieni maisha vijana huku mkichukua tahadhari, miaka yetu mambo hayo hayakwepo 😎🏃🏃

Eendiwoooooooo ndiwooo babuuu na uzoefu wake wa kutoshaaa!! Bila shaka kuanzia ujana wako mpaka saii unakula sana bata granpah hongeraaa na
Santo sanaa🤭!!
 
Eendiwoooooooo ndiwooo babuuu na uzoefu wake wa kutoshaaa!! Bila shaka kuanzia ijani mpaka saii umekula sana bata granpah hongeraaa na
Santo sanaa🤭!!
Enzi zetu za Ujana mambo hayo hatukuweza kufanya kuogopa maradhi, miaka yetu tuliogopa zaidi Gonorrhoea na Kaswende kwakuwa hakukuwa na matibabu ya moja kwa moja.

Nyie vijana mnaenjoy tu maisha kwakuwa kuna protective gears za kila aina labda muwe wadau wa dry 🙈🏃🏃
 
Watu wanaona bora wafe au wateseke kwa kansa , ila wasikose kufurahishana kitandani.. akili siku hizi zipo vice versa sana
Wanawake wenyewe inasemekana hawaridhiki kirahisi nowadays

Kwahiyo vijana wameamua kutumia shortcut ili kujaribu kuwafikisha na kulazimika kwenda Uvinza ya Kigoma 🙈🏃🏃

Sisi hadi tumefikia Umri huu wa Uzee hatujawahi kufika Uvinza hivyo kuishia kuisoma tu kwenye ramani 🤪
 
Back
Top Bottom