Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

haha binamu yako akikurabisha inatosha
Hivi Chino wakati Rush hours 1 inatoke 1998 ulikuwa wapiii?
IMG_20230409_214723.jpg
IMG_20230409_214932.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happy Easter wana selfikaaaaaaaa[emoji3577][emoji3577]!

Happy 10 years in Jf piaaahhhh[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Joined 9th April 2013!!!


Baada ya kushiba karibunii tushangilieee

Muwe na wakati mwema and enjoy your Easter wapendwaaa!![emoji8]
Woooooowwwwww!!!!.shouzzzzz
Si ungesema tufanyee party nawee.

Hongeraa sanaaaa, 10yrs sio mchezooo.
Mkongweee. [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom