Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy Easter wana selfikaaaaaaaa[emoji3577][emoji3577]!

Happy 10 years in Jf piaaahhhh[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Joined 9th April 2013!!!


Baada ya kushiba karibunii Mutukula border tushangiliee Easter Cup na Manzi ya Museven tupunguze shibeee[emoji3577] !!

Happy Boys VS Katebe[emoji23][emoji2960]!!

Muwe na wakati mwema and enjoy your Easter wapendwaaa!![emoji8]
Kinene aboluganda baffe bonna eyo ku mutukula .[emoji120]
 
Raha ya ngoma uingie kati ucheze🤣🤣🤣naamini mtachomoa tu km kawaida yenu
Ankali Katebe Wametubutruaaaa bana dakika 90

Happy Boys 1-1 Katebe..

Wakaenda Matuta

Happy Boys 5-5 Katebe

Matuta wakaongeza Mbili mbili

Happy Boys 2- 2 Katebe

Wakasema sasa wapige makipa

Happy Boys 0- 1 Katebe!!

😌😌😌😌😌😭!
 
Back
Top Bottom