Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Beb tufanyie wepes sikukuu iende poaHeri ya pasaka wapendwa..![]()
dk moja tu umetoa
irudiwe

Beb tufanyie wepes sikukuu iende poaHeri ya pasaka wapendwa..![]()

Matumizi mabaya ni yapi?🤔🤔au ni Yale ya kujichukulia sheria mkononiUsihofu hatutaitumia kwa matumizi mabaya usikonde mpenzi 😋😋💞😁
Karibu sikukuuuAhsante sumbai
Huu mualiko kama mtego dizaini Fulani mpe huyu mruke yule 😅😅😅
Karibu sanaVizuri tukapeana na mwaliko ili mambo yaende mswano
😂😂😂😂😂Imetoka hiyoBeb tufanyie wepes sikukuu iende poa
dk moja tu umetoa
irudiwe![]()
Mkuu sikuyaona maombi yako.Huu mualiko kama mtego dizaini Fulani mpe huyu mruke yule
Nimeomba mialiko muda wote watu wapo kimya kaja Beeb naona chapu mzee unataka umuandalie na mazagazaga![]()
Niko tayari Kwa mwaliko ila sijui nakaribia wapi BeebKaribu sana
Pamoja nitakuja na Beeb kama ataridhia
Hahaha mzeee. Uje nae Ila hamuindoki wotePamoja nitakuja na Beeb kama ataridhia




🤔🤔🤔Toka mwanzo niliona huu mualiko umekaa kimchongo zaidi.Ngoja nikampange pm abadilishe mawazo
Ban imeisha bestieMashalllah!!
Mtoto na u shape wakooo,
![]()
Hatarii kabisa!
Nimepitwa iruduwe mweeHeri ya pasaka wapendwa..😍😘
Naona kapigwa