Hongera kama umeacha, juzi kuna Mzee mwenzangu mmoja alinishawishi twende kuona yanayoendelea kule ili kufanya ulinganifu na mambo ya klabu zetu za mwaka 1957.[emoji23][emoji23][emoji23] nimeacha kwenda kidimbwi kabisa labda ukinipa ofa
Nilikuwa hapo mwezi uliopita wakati natoka shambani Namanyele 😜Karibu Tunduma
Ule mema ya nchi
Vijana WA kwayaaa.Ukijitolea kanisani uchoki Gily leo ujatokea View attachment 2580501
Mbona mbatusema sana viwawa
kumbe yaliyomo yamo🐕Maofisini utawaweza, huko kila mtu atapewa jina, ili mradi tu. Kuna mmoja chotara wa kiarabu na kihaya. Basi anapenda aonekane na kalio na huwa ananitania, mkwe nipunguzie ...
Sasa Mkaka mwingine huwa anamwambia ungekuwana nalo weyee tusingekunywa maji 😆😆😆😆😆
Kichwa chenyewe kidogo vile ndugu mjumbeWeee nina libichwaa balaaa!! Nataka nisuke huu nione sijui ntapendeza Kapachino njoo uthibitishe!!
Hiko cha juu sio kichwa changu ndugu mjumbe changu hiki hapa chini cha yeboKichwa chenyewe kidogo vile ndugu mjumbe
Hii kamera ingeenda kushoto kidogo ndugu mjumbe ingependeza kweli kweliNimefumua yebo hizo hapo Saint Anne
Mbona hata sio kikubwa ndugu mjumbeHiko cha juu sio kichwa changu ndugu mjumbe changu hiki hapa chini cha yebo
Wee bichwa langu libubwa ndugu mjumbe 🤣🤣🤣Mbona hata sio kikubwa ndugu mjumbe
Badae ntasogeza Usijareee kabesaaaHii kamera ingeenda kushoto kidogo ndugu mjumbe ingependeza kweli kweli
She's beautiful hongera mkuu!! Au ni wa kiume??View attachment 2580942Mimi huyo jimmy gatete nikiwa na mwanangu
Ni mdada GloryShe's beautiful hongera mkuu!! Au ni wa kiume??
Kazuri sana!!Ni mdada Glory
Kama wewe Shangazi yake🤩😍🥰Kazuri sana!!
Amina kubwaaaaaah!Kama wewe Shangazi yake🤩😍🥰
Ngoja tusubirie ndugu mjumbeBadae ntasogeza Usijareee kabesaaa