Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nilikuwa sijui Kama Kuna kitu kinaotwa jf!

Sema Kama unakumbuka selection za miaka ile za mjengoni kabla released by tcu. Zili liak pitia humu. Ndipo nikaifahamu. Sema akili ya kujiunga nilikuwa Sina kabisa.

Kumbe umekula mema mengi Sana na mzee mwenzio National Anthem
Mie nimeona mengi na kujifunza mengi .. kuna kipindi nilishaka JF nje hasa 2014 hadi 2019 nahizi ndio nokarudi tenaa. Ila sijawa tunutukiwa na mapambanooo yooote humu.. hadi nazeeka
 
20230405_034042.jpg
 
Wapi mwana

Nilikuwa napitia nyuzi yao

2012 huko mademu walikuwa wanafunguka Ile Ile

Na kulikuwa na mabazazi balaa

Miaka 11 hao sasa mama zetu
Kulikuwa na kisu moja ingine nomaaa mzee.. sema ipo active ningekutajia.. ila itaona maana na mume wake naona ana ID humu, tusije anzisha vita
 
Back
Top Bottom