Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Mi mwenyewe ananichanganya Sana huyu mtoto tonnia!Ringa malkia Antonnia
mtoto una rangi ya mvuto safi na pozi...
uzuri unao figa unayo usijali we ringa tuu,
mtoto unang'aa gheto mwanga wa mshumaa,
ah, ah, uzuri wako wa asili akili wako utajiri
heshima hadi usafiri kuringa unastahili (ringaa),
bambataa utadhani mko wawili,
siyo siri wengi tu unawachanganya akili, (ringaa), 🔥🔥🔥🔥 weeeringaaaaa

!