kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Wala jamani si husiki kabisa ndugu mjumbeKumbe hio ni id yako nyingine???
Wala jamani si husiki kabisa ndugu mjumbeKumbe hio ni id yako nyingine???
Nimeona umemquote Wigee hapo nikajua wewe kivingine!😂Wala jamani si husiki kabisa ndugu mjumbe
Etie niko hapaTumekumiso sana Ndugu mjumbe!
Wige ananisingizia ujueNimeona umemquote Wigee hapo nikajua wewe kivingine!![]()
Fanya kama unanibless ndugu mjumbe kitambo sanaaEtie niko hapa
Ngoja tule futari kwanza tushibe ndugu mjumbeFanya kama unanibless ndugu mjumbe kitambo sanaa
Sawa nasubiriaNgoja tule futari kwanza tushibe ndugu mjumbe
Bhasi ni balaa zito 🔥Antonnia huyo toto la kinyaru mkuu!
haha! vitu unavyopenda kutazama mda woteBhasi ni balaa zito 🔥
mteja wangu Sana uyo upo naye hapo!! wewe si umekaza kuniungishaMdada mzuriii,![]()
Mzee mbona hukunishtua mi nilikuwa napiga mihayo tu pale hall 5 those days.Hahahaa kijana anakumbushia![]()
Mzee mbona hukunishtua mi nilikuwa napiga mihayo tu pale hall 5 those days.
....
Mimi nilikuwa sijui Kama Kuna kitu kinaotwa jf!Hahaha mzee Mimi nipo tangu enzi zileee tunapiga Kelele za njaaa njaaaa.
Wakati mnapanga kwenda rev square na Yule mwalimu kisanko sijui
Mimi nilikuwa MMU na barizi tuu na kina valentine Madame B mahondaw
Wengi wamebadili idi.... So hard to remember dem al
Mimi nilikuwa sijui Kama Kuna kitu kinaotwa jf!
Sema Kama unakumbuka selection za miaka ile za mjengoni kabla released by tcu. Zili liak pitia humu. Ndipo nikaifahamu. Sema akili ya kujiunga nilikuwa Sina kabisa.
Kumbe umekula mema mengi Sana na mzee mwenzio National Anthem



Ukirudi urudi na Bantu Lady
Mmefunguka hatariHahaha mzee Mimi nipo tangu enzi zileee tunapiga Kelele za njaaa njaaaa.
Wakati mnapanga kwenda rev square na Yule mwalimu kisanko sijui
Mimi nilikuwa MMU na barizi tuu na kina valentine Madame B mahondaw
Wengi wamebadili idi.... So hard to remember dem al
