cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,296
Kheeeh kumbe Selfika kuna watu bantu figa awwww!!!Member wa SELFIKA




haha uyo mtoto tonnia ndo udhaifu wangu aisee!
Mimi nimekufanyia assist Kwa anto..
haha uyo mtoto tonnia ndo udhaifu wangu aisee!
mjeda kanidhidi kete baada ya kurudi na mamilioni toka Darful.



Tutafute hela!
Kwa hiyo hawa watoto wao wameumbiwa sisi tuwatafutie hela tu??Tutafute hela!
watoto hawataki maneno mengi
Ni nani huyu tena jamaniKapachino njoo haraka kuna MTU anahitaji mawasiliano ya huyu MTU. Njoo utoe msaadaView attachment 2575843
Wenyewe wanakwambia MANENO KIDOGO PESA MINGI MINGITutafute hela!
watoto hawataki maneno mengi
Mtu WA kapachino huyo.Ni nani huyu tena jamani
Tupambane mkuuTutafute hela!
watoto hawataki maneno mengi
Wa kuitwa nani??Mtu WA kapachino huyo.
na mbaya zaidi ukimpa hela Sana inafika hatua anakuchukulia Kama mzazi wakeKwa hiyo hawa watoto wao wameumbiwa sisi tuwatafutie hela tu??
Anto...Wa kuitwa nani??
Jamani jamaniAnto...
Unampa vyote mkuu pesa na mhogo wa jang'ombena mbaya zaidi ukimpa hela Sana inafika hatua anakuchukulia Kama mzazi wake
hivyo anaamua kujitafutia boyfrend wake mwingine wakutumia nae!
wewe unabakia upande wa malezi
Ishi vzr na kapachino akupe michongo humu jeiefuuJamani jamani
haha we mzee wewe!Mtu WA kapachino huyo.
haha usimpoteze maboya!Ishi vzr na kapachino akupe michongo humu jeiefuu
WeeeAnto...
Unatujaza sana mkuu yaani wewe unafanya haya halafu sisi unatukatazana mbaya zaidi ukimpa hela Sana inafika hatua anakuchukulia Kama mzazi wake
hivyo anaamua kujitafutia boyfrend wake mwingine wakutumia nae!
wewe unabakia upande wa malezi