Tunapishana tu mimi nikiwepo wewe unakua umepiga miseleHuonekani
Tunapishana tu mimi nikiwepo wewe unakua umepiga miseleHuonekani
Shetani anawezaMarahaba mdogo wangu
Uko poa?


Kuanzia leo😁😁Shetani anaweza
Kuwa malaika?
Eti mdogo wangu
Toka lini![]()
Woooow Mr vochaa






Ndiyooooo!!!




Yule mtoto wa shangaz mwingine ukimuona mwambie aje kunisalimia hapaNdiyooooo!!!
Cuzoo km cuzooo
Gentleman mwenyeweee, tisha sanaa.
![]()
Anakujaaa usijariiii.Yule mtoto wa shangaz mwingine ukimuona mwambie aje kunisalimia hapa




NiajeOyaaaaaaa
Nimekumiss hadi naumwaaaWoooow Mr vochaa
Mic u mnoo mjep wanguu.
Mahabhubha, nyonga mkalia ini.
![]()
Mnaelekea wapi Bantu Lady au ndo mambo ya Easter!Kapachino njoo haraka kuna MTU anahitaji mawasiliano ya huyu MTU. Njoo utoe msaadaView attachment 2575843
Hahaha Mimi nakusikilizia wewe hizo type zako.
hizi pisi ni za kwa zulu natal uko!Hahaha Mimi nakusikilizia wewe hizo type zako.
Toa mawasiliano tumsaidie MTU
BL yupo ametulia mtoto rangi ya mtume....
hizi pisi ni za kwa zulu natal uko!
mzee wa hall 5.
Ni wewe tu umebahatika kwa mbantu.
Jipige Sana kifua sema Mimi ni mwamba




