Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hio ni pisi kali ya sumbai anaitwa Bantu Lady hio ni majuzi akiwa njiani kwa bus elekea lubumbashi kutazama gemu yao ya shirikisho
Samahani nimesikia ugonjwa wa kisukari hutokana na kuzidi kwa utam kwa mgonjwa enzi za uzima wake..

Sasa kupitia raha na utam anaoupata mheshimiwa sumbai hivi mara ya mwisho kupima sukari ilikuwa mwaka gani
 
Katoto kazuri, ka shanga ka rangi ya gold kiunoni, kipini kitovuni, kikukuu cha gold mguuni.. na ka pete kidoleni cha mguu.. tatoo kiunoni ..😋😋😋... weekend tamuu sanaa.. katoto rangi ya gold kama Antonnia mcheshi kama Bantu Lady .. maisha ndio haya haya na ndio weekend imeanza mwendo wa amarula na hennesy
Enjoy kabisa Ankol, kweli maisha ni hayahaya...
Hakuna kupoteza muda, ni full kuenjoy na weekemd ndiyo hii.
 
Back
Top Bottom