Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,836
Sina pakuweka hapo 😂😂Uchoyo huo, au umepewa tu lift so huwezi kunibeba na mie
Sina pakuweka hapo 😂😂Uchoyo huo, au umepewa tu lift so huwezi kunibeba na mie
Umemshika pabaya na anavyopenda hela huyo ukute tayari rambirambi yake ameshaikopeaRambirambi only😋😋
Hahahahaa kumbe unamjua vemaUmemshika pabaya na anavyopenda hela huyo ukute tayari rambirambi yake ameshaikopea
Izo nimempa Jack Palladino ili anunue mewani ya machoRambirambi only😋😋
Best iko siku utakula raha sanaNishamwambia
Ila daah sema tu bado namuhitaji best yangu so namuombea maisha marefu
Umejuaje mzee bado yako ww sijaionaUmemshika pabaya na anavyopenda hela huyo ukute tayari rambirambi yake ameshaikopea
Mguu uhu umetinga wapi sasaivi 😂😂😂
Dakar kiongoziWPi hapa 🙄
Maeneo flani hivi🤣🤣🤣Mguu uhu umetinga wapi sasaivi 😂😂😂
o dar hapa hapa? 🙄Dakar kiongozi
Punguza kuzulula wewe utakuja jikwaa na miguu yako ilivyo midogo et una vaa kiati size 27😂😂😂Maeneo flani hivi🤣🤣🤣
Ameen to that best ake🙏😍Best iko siku utakula raha sana
34 hiyo🤣🤣🤣 nimeificha tuPunguza kuzulula wewe utakuja jikwaa na miguu yako ilivyo midogo et una vaa kiati size 27😂😂😂
Bado una valiana na Lenie mimi 4234 hiyo🤣🤣🤣 nimeificha tu
Jamani kumbe nimepitwa34 hiyo🤣🤣🤣 nimeificha tu
Mkuu naona unakunywa juice!![]()