Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,836
Ngoja tuludi kongowe sawa 😂😂Ameen to that best ake🙏😍
Ngoja tuludi kongowe sawa 😂😂Ameen to that best ake🙏😍
Em fanya turudi chap kwa harakaNgoja tuludi kongowe sawa 😂😂
v unakumbuka ahad yako ww na Jack Palladino ya kuninunulia vits? Ndio maana nimeanza jifunza gar mapemaEm fanya turudi chap kwa haraka
PIga kitu strong mkuu!Hii Alc 4.5% naona nimedanganywa hapa, hata kuyumba siyumbi
Watu duniani mbaishi sisi wengine tuna wasindikiza ninyi
Hahaa ukishapata leseni rasmi njooI
v unakumbuka ahad yako ww na Jack Palladino ya kuninunulia vits? Ndio maana nimeanza jifunza gar mapema
Kweli eeeHahaa ukishapata leseni rasmi njoo
lakini kibaya utanileteaje kiatu rangi ya kijan kwani mimi mgogoNilikusudia 43
amahani nitafsilie si unajua akili zangu zimepinda kidogo 😂
Angalia mbele utagonga kijana!S
amahani nitafsilie si unajua akili zangu zimepinda kidogo 😂
Nimeludi nilikuwa nafanya zoez la kukona kesho nayo siku 😂😂Angalia mbele utagonga kijana!
Bora umerudi😅Nimeludi nilikuwa nafanya zoez la kukona kesho nayo siku 😂😂
Duh jana nusu niingie kwenye balabala ya mwendo kasi kisa kuyumba yumba uzuri nimeweka L KWENYE KIOOBora umerudi😅
Usijali ww tenaLeo utanipeleka tena 😊😊
😍😍😍😍 ndio maana nakupenda sanaaa mdogo wangu.. hujawai niangushaUsijali ww tena