sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Hio ni pisi kali ya sumbai anaitwa Bantu Lady hio ni majuzi akiwa njiani kwa bus elekea lubumbashi kutazama gemu yao ya shirikisho




Dah
Hio ni pisi kali ya sumbai anaitwa Bantu Lady hio ni majuzi akiwa njiani kwa bus elekea lubumbashi kutazama gemu yao ya shirikisho




Ukimiliki pisi Kama hii mbinguni moya Kwa moyaSamahani nimesikia ugonjwa wa kisukari hutokana na kuzidi kwa utam kwa mgonjwa enzi za uzima wake..
Sasa kupitia raha na utam anaoupata mheshimiwa sumbai hivi mara ya mwisho kupima sukari ilikuwa mwaka gani
Tafuta hela utapata mwili wowote unaoutakaNaomben dawa ya kunenepa ase nimeacha gym ili mwili urudi ila bado nitumie nini shat halinikai
Basi uwe wanisalimia kaka yako hata nyumbani nina urithi wako 😊😊Sijapotea kabisaa nipo Kaka napitaga kimya kimya tuu nikipata chance😇
JF nipo sana siwezi potea mazima napenda sana kujifunza/kusoma maoni ya watu wa humu
Hongera Sana mzee!
Hongera mkuu! Umependeza fundi wako anajua usimuache
Ahsante mkuuHongera mkuu! Umependeza fundi wako anajua usimuache
Mwalimu wako wa mapozi usimuache pia anajua sanaAhsante mkuu
😂😂😂😂..sawa kpMwalimu wako wa mapozi usimuache pia anajua sana
Kiuno nyingu umeona peke yako mwamba bila kunitonyaa 🙂🙂🙂Maana Kama kiuno nyingu kimeonekana; mambo yao sumbai na National Anthem
HAtujaona boss😂😂😂😂..sawa kp
Imetoka hiyooHAtujaona boss
SAwa sawa mkuuImetoka hiyoo
hahaha! Huyu anakufwaa pia akuwe aunt yako.Kiuno nyingu umeona peke yako mwamba bila kunitonyaa 🙂🙂🙂
Sijamuona bado.. 😅😅😅 vigezo na masharti havijatimia bado..hahaha! Huyu anakufwaa pia akuwe aunt yako.