Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,775
- 182,917
Basi acha kazi.
Tatizo mshahara mdunchu mno
Tatizo mshahara mdunchu mno
Uliniahidi upenuni shee,[emoji134]kausha shee hapa upenuni ujue
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]kuna muda auntie yako haoni poa mswamehe bure
Hahahahahaha
Nitampeleka hukuuView attachment 1269143
Haya
Hizo hapoo jamani auntie
Metamani nikuwe hiyo skirt akii [emoji39][emoji39][emoji39]
Later will talk bout that dear [emoji73]Awww[emoji8][emoji8][emoji8]
41 my [emoji1780]
We mbona hunilindi?Noma shee kausha... Nilinde basi best
Hebu niambie umewaza nini mkwe!!![emoji134][emoji134]
Mkwe hivi haukufunzwa weye? Hautakiwi kumbishia mkweo. We lete size 41 ndio anavaa.
Ahahaha eti dingi hana uwezo,, hilo neno njumu huwa nalisikia tu mtaani na ninadhani hata baadhi ya wakenya pia huwa wanalitumia.. ni sheng ya nai hiyo
Sasa ulikiwa unabisha nini?Hahah...imeisha hiyo mkwe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]Maujinga tu...[emoji2960]
Sasa ulikiwa unabisha nini?
Ulete pea mbili.
Uombe tu kingine.[emoji39][emoji41][emoji148][emoji148]
Hapa mkwe ninaye
[emoji23][emoji23][emoji23] Danh aiseh.. Mkuu umenichekesha balaaHahaha...this's one is dope...nigga yo got some jokes!!!
Kuna hiyo moja huwa inasema, ukiwa mtu mfupi ati usiseme ulipambana juu na chini, sema tu ulipambana chini kwa chini...