Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mkwe hivi haukufunzwa weye? Hautakiwi kumbishia mkweo. We lete size 41 ndio anavaa.Mmhh!!!
Mkwe hii labda size yako
wakati huo kulikuwa na viatu vikiitwa DH a.k.a Dingi Hana uwezo na vingine vilikuwa vyaitwa njumu za Maradona...
Sasa hiyo neno umetaja ndio imenisafirisha back in time hadi wakati huo...





my ribs
Hahaha...this's one is dope...nigga yo got some jokes!!!
Kuna hiyo moja huwa inasema, ukiwa mtu mfupi ati usiseme ulipambana juu na chini, sema tu ulipambana chini kwa chini...
hahaha: nimesahau
Ukubwa bila hela ni mzigo pia.
Hata ukiongea hakuna atakaye kusikiliza.
Tutafuteni hela.



kuna muda auntie yako haoni poa mswamehe bure
Hahahahahaha
Nikubebana akii
Nikifika hapo utasikia nipo Mtwara 🤣🤣🤣Fanya haraka
Mbona muda tayariTisa kamili hii naweka 20 au ishirini
AimennnHapana nakupenda sana siwezi asilani kukuchawia
Sawa dadakuna muda auntie yako haoni poa mswamehe bure
Mshana usicheze na akili zangu mimi
Weka picha hebu


HahahahahahaAnajiandaa kuweka picha 20, Bado zinaupload subirini, 20 sio mchezo![]()