Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Ngoja ninyamazeNilijua nikiongea naye nitampa shetani nafasi.
Naona naye ameokoka kaka wa watu.. akaishia kuniangalia tu,,,
Mimi nikishachomoka tu ni miendo,, hata pembeni siangalii.
Wote tumeshukia mlango mmoja,, huu wa upande wa dereva pembeni ambao huwa unafunguliwa kwenye vituo vya mwendokasi.
Sasa pale Mbezi ukishukia ule mlango lazima uruke..
Tumeongozana wote, ananiangalia..
Akaruka, nikaruka
Nilivyoshuka hapo mimi ni mwendo hata nyuma huwa sigeuki Tena.
Aisee[emoji848]Hahaha mambo gani kaka Wige ?
Ziendelee niwe nalala usingizi mnono hasa alfajiri .Mvua ziendelee
Tuone vitu
Note taken,, Tunukie [emoji108]Leo nimetoka posta nimepanda na kaka mmoja kwenye mwendokasi
Huwa nasimama kwenye maungio yale,
Yeye kapandia Jiji.
Kaja kusimama mbele yangu tukawa tunaangaliana..nilikuwa nimeinama alipopanda akanigonga nikashtuka,nikamuangalia nikakuta HB hatari.
Mzuri jamani,amevaa vizuri suti yake,halafu ananukia.
Mwee safari nimeiona fupi,
Naye kasimama palepale hadi mwisho,
Hajasogea hata mbele yake.
Tumeishia kugongana gari ikiyumba..
Mara ahamishie mkono niliposhikilia,
Na mimi hata sikuutoa.
Ila kumuangalia nilikuwa siwezi,nikawa naibia,,nimevaa cap.
Nikasema hapa lazima nimshinde shetani,,wakati wa kushuka ntashuka haraka yasije Kutokea mengine.
Naye kumbe akawa anashukia Mbezi stand.
Aisee gari imesimama,nachukua begi langu pale chini nilikuwa nimeweka
Kaka amesimama tu ananiangalia.
Nilivyomuangalia akageuka kuangalia mlango wa Kutokea.
Nimeishia kutabasamu tu na kuondoka .
Nimeokoka nampenda Yesu.
Wanaume jitahidi muwe mnanukia jamani,
Wakati wa kwenda nilipanda nikakaa mwisho kabisa na wakaka wote,
Aliyekaa pembeni yangu ananuka jasho jamani chaa[emoji3064]
Angalau safari yangu ya kurudi imekuwa mubashara.
toto zuri🤣🤣🤣🤣Wige wee ni mwehu ujue Nacheka huku nasinzia hapaaaa☺️🙄
Mzee wawatu uvinza atafute nini acha mambo yakooo 😎!
Uncle wako nitamuwakilisha vyemaSaa ngapi utakuwa free Ankol?
Upo chaka MkuuImagination yangu itakuwa sawa hapo kwenye jins [emoji41]
WalaFaida za mvua kunyesha
Hisia zinakuja asap
Bila shaka ulilowa
Khaa [emoji1787]What a loss?? Huyo shetani mnampiga na maombi anawaacha na yenu. [emoji23]
Kabisa.Note taken,, Tunukie [emoji108]
Hello AnnKabisa.
Na kupendeza
Missed you so much . How are you ?Hello Ann
Nipo mkuu!Comrade upo?
HelloHello Ann
Missed you more,, i am alright sijui weweMissed you so much . How are you ?
I am good,, you alright?Hello
Mambo
Mungu ni mwemaI am good,, you alright?