Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,237
Hatari sanaYeah ..napambana mdogo wangu .
Ahsante Sana[emoji7]
Unazidi tu kuwa mzuri dada wa watu
Huna baya[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hatari sanaYeah ..napambana mdogo wangu .
Ahsante Sana[emoji7]
Huko mbele hata sijaona ineendeleaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko mbele hata sijaona ineendeleaje
Yaani sasahivi nikiona kipande Cha J naangalia
Hao wengine akina nani sijui wanaopiga tu hela huwa hawanichekeshi kama J
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anavyowapiga fix mademu zake
Anajua kuwapanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alinichekesha tu anavyomgombeza Naa Ile siku
Jana anamsingizia dada Ake eti huyo mwanamke dada ndio alisababisha yote,mi hata simjui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo naisubiri zahanati ya kijiji nicheke mimi.
SanaAnajua kuwapanga
Ebu nitumie Pm nione.. jana sikuona a aunt 🤣🤣🤣Hapana mnaiacha hivyohivyo. Mtu akiquote tu sitaweza kuifuta 😅😅😅😅😅😅 jamani naona aibu kuweka picha 🏃♀️🏃♀️🔥🔥🏃♀️
Morning mremboo[emoji177]Good morningView attachment 2558821
Shikamoo mtoto mzuriGood morningView attachment 2558821
Auntie JuniaGood morningView attachment 2558821
Nimepitwa aisee 🤔😅Mzee wa kupambania kiduku mpapaso na waliopitwa napita dakika 2 shwaa. Mkikosa tena ndio finito madonna 😂😂😂😂😂 msiquote sawa...
Asante mama juniqAuntie Junia
Unanikosha namna unavyovaa vizuri kwa heshima
Hapo tu ndipo ninapowapendea waislam wengi
Marhaba mkaka mzuriShikamoo mtoto mzuri
😍Morning mremboo[emoji177]
Babu uko smart hongera
aunt nifanyie namna basi 😌😌😌Mzee wa kupambania kiduku mpapaso na waliopitwa napita dakika 2 shwaa. Mkikosa tena ndio finito madonna 😂😂😂😂😂 msiquote sawa...
Jioni Ankol wangu. Uwe mitaa hii nitarudia kwaajili yako Ankol usikomde kabisa in Antonnia voice 😘😘😘aunt nifanyie namna basi 😌😌😌
Dah! Jioni nitakuwa safarini, nimeisha kosa hiyo 😌😌😌Jioni Ankol wangu. Uwe mitaa hii nitarudia kwaajili yako Ankol usikomde kabisa in Antonnia voice 😘😘😘
Saa ngapi utakuwa free Ankol?Dah! Jioni nitakuwa safarini, nimeisha kosa hiyo 😌😌😌