Imagination yangu itakuwa sawa hapo kwenye jinsBlack is beautifulView attachment 2559576

Unaaga masaa 4,Usiku mwema wapendwa!
Mrare unono!!
😴😴😴😴😴😴😴😴Unaaga masaa 4,
Huyo ni last born wangu, kesho nitamwambia asogeze Kamera Juu kidogo 😅🏃🏃Evening granpaahhh!!!
Looking very smart babuu Umependeza!!
Sema umekata sana babuuu ungesogeza Kamera juu kwanyuma kidogoo😎!!
Nimekula chumvi nyingi ujue 😀Mwaka 58
Babu la mchongo
Una masihara sana![]()
Nasubiria kwa hamu nione yaliyomo hapo dogo anaonekana nukseee sana babuu😎Huyo ni last born wangu, kesho nitamwambia asogeze Kamera Juu kidogo 😅🏃🏃
Saivi nina miaka mingi Mjukuu, almost nakaribia Umri wa Mzee Mwinyi 🙈Kwahio saii uko na miaka mingapi kwani babuu?? Unaonekana kijana kabisa wa kuliwa bila chumvi wala nener 🤓😂🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️!!
Hahaha..........kesho itakuwa full naked 🤪Nasubiria kwa hamu nione yaliyomo hapo dogo anaonekana nukseee sana babuu😎
kwa sauti ya Wigelekelo 🤓☺️
Nilijua nikiongea naye nitampa shetani nafasi.Ungemkaribisha morning glory ukute na yeye kaokoka na ni mchungaji![]()
Hahaha mambo gani kaka Wige ?Mvua zikinyesha
Zinakujaga na mambo![]()
Hongera sana babuu hakika wazee wa zamani mmejua kujitunza bana unaonekana bado uko vyedeee sana!✌️✌️Saivi nina miaka mingi Mjukuu, almost nakaribia Umri wa Mzee Mwinyi 🙈
Hayaa usisahau kunitag granpaahhh uwe na Usiku mwema acha mi nipumzishe fuvu langu hapaa!!Hahaha..........kesho itakuwa full naked![]()
Faida za mvua kunyeshaLeo nimetoka posta nimepanda na kaka mmoja kwenye mwendokasi
Huwa nasimama kwenye maungio yale,
Yeye kapandia Jiji.
Kaja kusimama mbele yangu tukawa tunaangaliana..nilikuwa nimeinama alipopanda akanigonga nikashtuka,nikamuangalia nikakuta HB hatari.
Mzuri jamani,amevaa vizuri suti yake,halafu ananukia.
Mwee safari nimeiona fupi,
Naye kasimama palepale hadi mwisho,
Hajasogea hata mbele yake.
Tumeishia kugongana gari ikiyumba..
Mara ahamishie mkono niliposhikilia,
Na mimi hata sikuutoa.
Ila kumuangalia nilikuwa siwezi,nikawa naibia,,nimevaa cap.
Nikasema hapa lazima nimshinde shetani,,wakati wa kushuka ntashuka haraka yasije Kutokea mengine.
Naye kumbe akawa anashukia Mbezi stand.
Aisee gari imesimama,nachukua begi langu pale chini nilikuwa nimeweka
Kaka amesimama tu ananiangalia.
Nilivyomuangalia akageuka kuangalia mlango wa Kutokea.
Nimeishia kutabasamu tu na kuondoka .
Nimeokoka nampenda Yesu.
Wanaume jitahidi muwe mnanukia jamani,
Wakati wa kwenda nilipanda nikakaa mwisho kabisa na wakaka wote,
Aliyekaa pembeni yangu ananuka jasho jamani chaa
Angalau safari yangu ya kurudi imekuwa mubashara.
Kaa kwa kutuliaNimekula chumvi nyingi ujue![]()

🤣🤣🤣🤣Wige wee ni mwehu ujue Nacheka huku nasinzia hapaaaa☺️🙄Kaa kwa kutulia
Chumvi ya uvinza
Ama ya chumvini![]()
What a loss?? Huyo shetani mnampiga na maombi anawaacha na yenu.Nilijua nikiongea naye nitampa shetani nafasi.
Naona naye ameokoka kaka wa watu.. akaishia kuniangalia tu,,,
Mimi nikishachomoka tu ni miendo,, hata pembeni siangalii.
Wote tumeshukia mlango mmoja,, huu wa upande wa dereva pembeni ambao huwa unafunguliwa kwenye vituo vya mwendokasi.
Sasa pale Mbezi ukishukia ule mlango lazima uruke..
Tumeongozana wote, ananiangalia..
Akaruka, nikaruka
Nilivyoshuka hapo mimi ni mwendo hata nyuma huwa sigeuki Tena.

KomaSaivi nina miaka mingi Mjukuu, almost nakaribia Umri wa Mzee Mwinyi![]()