Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jioni tulivu…
IMG_2636.jpg
 
My daddy , my dady.. Your baby is singing . I will be singing , dancing and chanting for the rest of eternity .
 
Sisi tuliofanya kazi enzi za Mkoloni Mwingireza tulilazimika kuwa smart kuendana na masharti ya Mkoloni,

na hiyo picha nilipiga mwaka 1959 wakati Mkoloni anajiandaa kumkabidhi Nchi Mwalimu 😎🏃🏃
Kwahio saii uko na miaka mingapi kwani babuu?? Unaonekana kijana kabisa wa kuliwa bila chumvi wala nener 🤓😂🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️!!
 
Leo nimetoka posta nimepanda na kaka mmoja kwenye mwendokasi
Huwa nasimama kwenye maungio yale,
Yeye kapandia Jiji.
Kaja kusimama mbele yangu tukawa tunaangaliana..nilikuwa nimeinama alipopanda akanigonga nikashtuka,nikamuangalia nikakuta HB hatari.

Mzuri jamani,amevaa vizuri suti yake,halafu ananukia.

Mwee safari nimeiona fupi,
Naye kasimama palepale hadi mwisho,
Hajasogea hata mbele yake.
Tumeishia kugongana gari ikiyumba..
Mara ahamishie mkono niliposhikilia,
Na mimi hata sikuutoa.
Ila kumuangalia nilikuwa siwezi,nikawa naibia,,nimevaa cap.

Nikasema hapa lazima nimshinde shetani,,wakati wa kushuka ntashuka haraka yasije Kutokea mengine.

Naye kumbe akawa anashukia Mbezi stand.

Aisee gari imesimama,nachukua begi langu pale chini nilikuwa nimeweka
Kaka amesimama tu ananiangalia.
Nilivyomuangalia akageuka kuangalia mlango wa Kutokea.
Nimeishia kutabasamu tu na kuondoka .
Nimeokoka nampenda Yesu.

Wanaume jitahidi muwe mnanukia jamani,
Wakati wa kwenda nilipanda nikakaa mwisho kabisa na wakaka wote,
Aliyekaa pembeni yangu ananuka jasho jamani chaa

Angalau safari yangu ya kurudi imekuwa mubashara.
 
Ungemkaribisha morning glory ukute na yeye kaokoka na ni mchungaji
 
Back
Top Bottom