Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,247
Eti wifi yangu kipenzi ameniita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana vituko sana
Mmeambiwa hapa ni wodi ya wazazi
Hapa ni hospital [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Nimecheka.
Eti wewe unanitishia dawati,
Kwahiyo huko primary secondary nilikuwa nakalia nn pumbavu wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]