Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,075
Mzee wa kupambania Sijui kaenda kuswampia wapi tena akikosa hii basii wee mzee wa kupambania mmeambiwa na mbantu One for the road hukuuuu🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️Ninavyosubiri Sasa😂
Mzee wa kupambania Sijui kaenda kuswampia wapi tena akikosa hii basii wee mzee wa kupambania mmeambiwa na mbantu One for the road hukuuuu🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️Ninavyosubiri Sasa😂
Eti wifi yangu kipenzi ameniita
Mmeambiwa hapa ni wodi ya wazazi
Hapa ni hospital [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Nimecheka.
Eti wewe unanitishia dawati,
Kwahiyo huko primary secondary nilikuwa nakalia nn pumbavu wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kukopesheka😂😂😂🤣🤣Haya mambo yangekuwa yanakopesheka ningeenda kukopa kwako Antonnia au @Bantu Lady nikae nanyi hata siku3
Hawa ndo wanasababishia watu kesiNimecheka sana eti auawaa
Ila Nembo ni snich [emoji23][emoji23] muda wote anataka pesaaa
Simu iliisha charge next time atawahi tena. Uko poa lakini mamii. Nimefurahia Yanga, hawajatuangusha kwa kweli.kukopesheka😂😂😂🤣🤣
Niko poa sana mamito hakika saii naenda rara vizureeee kabisa!! Yanga juuu💃💃Simu iliisha charge next time atawahi tena. Uko poa lakini mamii. Nimefurahia Yanga, hawajatuangusha kwa kweli.
Hawa ndo wanasababishia watu kesi
Mtu auwa mjamzito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ntaangalia marudio hiki kipande
Eeh Mungu wangu!! Usingizi umepaa dakika sifuri tu!! Dooh hakika Mungu anajua kupendelea!!Haya usiku mwema Jamani..esp kwa wana Yanga wenzangu😍😘
View attachment 2558583
Kuna kiumbe huwa analala kabisa akiwa na wewe?? Asiee mpaka kunakucha 😍Haya usiku mwema Jamani..esp kwa wana Yanga wenzangu😍😘
View attachment 2558583
😂😂😂😂Kuna kiumbe huwa analala kabisa akiwa na wewe?? Asiee mpaka kunakucha 😍
Weeh!!sio kweli kwangu mie hapalaliki , weeh nilale uko pembeni ili nigundue nini usingizini 😀😂😂😂😂
Hustle kwanini asilale Jamani
😂😂😂😂😂Weeh!!sio kweli kwangu mie hapalaliki , weeh nilale uko pembeni ili nigundue nini usingizini 😀
Labda sijui!!, Ila kuna baadhi ya vitu huwa havinilazagi hata nijaribu , AKILI inaniambia acha ujinga amka kuna kesi uko nayo 😀😂😂😂😂😂
Nimecheka kwa sauti khaaa...utalala tu labda Kama huna usingizi
Dada una balaa
Yeah ..napambana mdogo wangu .Dada una balaa
Sasahivi umepungua kidogo ndio umekuwa[emoji91][emoji91][emoji91]
Tunaoumia ni sisi vimbaombao [emoji23]