Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,180
- 4,422
Wivu unamtesa anayeumiliki na mwenye wivu akizidisha anakuwa msaidizi wa kalumanzila😅😅 kuna madogo humu wana mambo ya ki waki , naona mapendo kwa shangazi yalimchoma akajaa mzima mzima kunichana hapendi kama kupendana tuishie PM yaani anatupangia tena namna ya kuishi.. na mie nikamuambia mie sina akili aniache kwanza.. ndio nimetoka milembe 🤣🤣🤣

