kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Unaamua kunijaza sio ndugu mjumbeKijana wa kazi kaaazzz!! Ndriiiooo
!
Unaamua kunijaza sio ndugu mjumbeKijana wa kazi kaaazzz!! Ndriiiooo
!
Shangazi wangu tu hao..Uku aunt bantu kule Aaliyyah kule anton; uko vizuri mzee
Asante sana Ankol kwa hivi nitarecover haraka sana. 😘😘😘Pole sana aunt.. kama utatapa hii itapendeza sana.. sie wazima kabisaa auntView attachment 2550298View attachment 2550299
Mgonjwa wetu poleAsante sana Ankol kwa hivi nitarecover haraka sana.![]()
HeeCoca bado kazuiliwa huku yaniii !!




Weekend tukitoka aunt yangu unikumbushe tununue S23 Ultra aunt wangu au 🙂🙂🤣🤣🤣🤣 mnywanii Mbavu zanguuu hukuuuu!!
Na kisimu changu cha tecno waniwacheeeee😊😊😊😁😁😁!!
Kweli Kabisa mjomba!!Shangazi wangu tu hao..
Thank you dear, leo mgonjwa na pole nawewe pia. Naona siku mbili hizi hatuko poa pamoja. Kama matwins 😅😅😅😅😅Bantu Lady nimeona kivuli chako dear warmly welcome mamaa
Hiyo chap chap una recover aunt yangu, huwa natumia hiyi nikiona nipo down mwiliniAsante sana Ankol kwa hivi nitarecover haraka sana. 😘😘😘
Ugua pole!Nipo Ankol, sema leo niko home tu. Naumwa toka jana siko sawa. Vitu vya baridi vimeshanifanya vibaya kooni. Nina Alergy navyo. Natumaini wazima kabisa, nawamiss pia.
Thank you dear, leo mgonjwa na pole nawewe pia. Naona siku mbili hizi hatuko poa pamoja. Kama matwins 😅😅😅😅😅
Mie na wewe tena usijali aunt unepataaa tayari 🤗🤗Yanii niko vibaya sana dear!! Sijui hali ya hewa duhh!!
mjomba National Anthem namie Naombaaa nimeona limao na tangawizi hapooo auwwww😋😋😋
Nzuri sana, nitaomba hapa niandaliwe sema leo kama ni juice sinywi ya baridi. Chai na tangawizi poa kabisa Ankol. Shukrani sana.Hiyo chap chap una recover aunt yangu, huwa natumia hiyi nikiona nipo down mwilini
Umeona eeehhh!! Hapo tu ndio unaponimalizaa mjomba wangu haunaga mbambambaa kabesaaa!! Barikiwa sana mjomba!!Weekend tukitoka aunt yangu unikumbushe tununue S23 Ultra aunt wangu au 🙂🙂
😅😅 japo wengine wanapata wivuuu hadi naitwa mwenyekiti wa wajinga .. mmoja alishindwa kuvumilia akanichana nikajua wivuuu 🤣🤣🤣 nahisi alikuwa hajui kuwa sinaga akili toka zamanii za zamaKweli Kabisa mjomba!!
Asante sana Chino shukrani 😘😘😘Ugua pole!
Utakuwa sawa tu
Pole sana nakuombea urudi sawa. Asante kipenzi tutumie hiyo ya Ankol 😘😘😘 ugua pole dearYanii niko vibaya sana dear!! Sijui hali ya hewa duhh!! Ila tutakua sana kipenzi
mjomba National Anthem namie Naombaaa nimeona limao na tangawizi hapooo auwwww😋😋😋
Juice pumuzika, hiyo chai dawa ni nzuri sanaaa aunt🙂🙂 huwa nikiwa Dar naitumia sana kuna sehemu panaitwa Mangoes wanajua sana kuitengenezaNzuri sana, nitaomba hapa niandaliwe sema leo kama ni juice sinywi ya baridi. Chai na tangawizi poa kabisa Ankol. Shukrani sana.