Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alafu binadamu hatupasw kudharauliana aisee last month nilitafutwa na mtu tulokutanaga miaka 8 imepita na tulionana maramoja somewhere nikiwa Binti enz hizo😀😀Kilichotokea ananisaidia sana sana kwenye vitu vikubwa mno had sahiz sijaamini tuishi Kwa wema hatujui kesho kusemana semana sio ishu hapa tunaburudika tu
Nimecheka Sana ujue( nikiwa binti)
 
Alafu binadamu hatupasw kudharauliana aisee last month nilitafutwa na mtu tulokutanaga miaka 8 imepita na tulionana maramoja somewhere nikiwa Binti enz hizo😀😀Kilichotokea ananisaidia sana sana kwenye vitu vikubwa mno had sahiz sijaamini tuishi Kwa wema hatujui kesho kusemana semana sio ishu hapa tunaburudika tu
Miaka 8 ulikua kitoto na sasa ndio bint
 
Back
Top Bottom